-
Makala Nyingine
/ 1 year agoAL AHLY YATUA NCHINI TAYARI KUIKABILI SIMBA IJUMAA.
Klabu ya Al Ahly tayari imetua nchini kwaajili ya mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoKOCHA MAMELODI AELEZA SABABU ZA KUKAGUA UWANJA BILA VIATU.
Kocha wa kikosi cha Mamelodi Sundowns Rulani Mokwena ameweka wazi kuwa wana kawaida ya kukagua uwanja kabla ya mechi bila viatu...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoHAKUNA KUINGIA NA PASSPORT, WAZIRI ALIKUWA ANA TANIA.
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro kwamba...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoCHAMPIONSHIP UTAMU KOLEA, KENGOLD NA PAMBA HAKUNA MBABE
Goli la dakika ya 90+5 la Haruna Chanongo zikiwa zimeongezwa dakika 5 lilitosha kuipa timu yake ya Pamba Jiji bao muhimu...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoWAZIRI JUNIOR MECHI 77 ZA LIGI MAGOLI 50.
Mshambuliaji kinara wa KMC FC Wazir Jr Shentembo amefikisha michezo 77 ya kwenye Ligi Kuu ya Tanzania huku akiwa amefanikiwa kufunga...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoUJEZI WA UWANJA ARUSHA KUGHARIMU BILLION 286.
Serikali imetoa Shilingi bilioni 286 kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu Mkoani Arusha uliopewa jina la Dokta...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoAFISA TFF ATOA UFAFANUZI JUU YA GHARAMA ZA MECHI ZA AL HILAL.
Afisa habari wa shirikisho la soka nchini Tanzania [TFF] Cliford Ndimbo ameeleza kuwa watalitolea ufafanuzi suala la nani atagharamikia kuisafirisha timu...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoGAMONDI: NAJUA MAMELODI WAPO HAPA WANATUFUATILIA.
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema leo kuwa anajua vitu vingi sana kuhusu Mamelodi Sundowns na ameanza kulifuatilia...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoARSENAL YAANGUKIA MDOMONI MWA BAYERN MUNICH.
Shirikisho la soka Barani Ulaya UEFA leo limepanga droo ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya mabingwa Barani Ulaya na...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoKOCHA STARS: JOB ALIKOSA UZALENDO, KIMO CHAKE HAKIRUHUSU.
Mlinzi wa klabu ya Yanga Dickson Job hajajumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania na kocha mkuu wa kikosi...