-
Azam FC
/ 1 year agoAZAM FC KUMKOSA BANGALA JUMATATU.
Ofisa habari wa klabu ya Azam Hashim Ibwe amesema timu yake ipo tayari kupambana na Yanga Jumatatu.
-
Azam FC
/ 2 years agoYANGA NA AZAM KUKIPIGA LUPASO.
Mchezo huo utapigwa Lupaso tofauti na awali ambapo ulipangwa kupigwa Azam Complex.
-
Azam FC
/ 2 years agoAZAM KUMSAJILI KIPA WA TABORA UNITED JANUARY.
Klabu ya Azam ina mpango wa kumuongeza kikosini Djuma Shaban na John Noble kwenye dirisha dogo la mwezi January.
-
Azam FC
/ 2 years agoBODI YA LIGI YAFANYA MAREKEBISHO MICHEZO YA YOUNG AFRICANS.
Bodi ya Ligi imefanya mabadiliko ya michezo miwili ya Young Africans, dhidi ya Azam na Dhidi ya Singida Fountain Gate.
-
Azam FC
/ 2 years agoAZAM HAIWEZI KUBEBA UBINGWA ~ KOCHA MINGANGE.
Kocha wa zamani wa timu ya vijana ya Azam Meja Abdul Mingange amesema Azam haiwezi kuwa bingwa kwasababu viongozi wanaosimamia mpira...
-
Azam FC
/ 2 years agoBODI YA LIGI YATAJA TAREHE MPYA SIMBA, YANGA NA AZAM
Bodi ya ligi imetangaza timu za Simba SC, Yanga SC, Azam FC na Singida Fountain Gate FC kuwa mwezi September zitacheza...