-
EPL
/ 1 year agoONANA AONGEZA IDADI YA MAJERUHI UNITED.
Manchester United wamepata pigo lingine wiki hii baada ya mlinda mlango Andre Onana kulazimika kutoka nje wakati wa mechi ya Cameroon...
-
EPL
/ 1 year agoMABADILIKO UNITED KUANZA NA ARNOLD.
Mtendaji mkuu wa Manchester United Richard Arnold anatarajiwa kuondoka katika klabu hiyo ifikapo mwisho wa mwaka huu. Arnold ataondoka baada ya...
-
Manchester United
/ 1 year agoGLAZERS, TEN HAG KUKOSA MAZISHI YA BOBBY CHARLTON
Kocha na Meneja wa Manchester United Erik ten Hag hataungana na wachezaji kama Wayne Rooney, Ryan Giggs na Roy Keane katika...
-
Manchester United
/ 1 year agoBOBBY CHARLTON KUZIKWA LEO.
Ibada ya mazishi ya Sir Bobby Charlton itafanyika katika Kanisa Kuu la Manchester mnamo Novemba 13, Manchester United imethibitisha. Gwiji huyo...
-
EPL
/ 1 year agoMAGUIRE ANA FURAHA MAN UNITED.
Beki wa Manchester United Harry Maguire ana furaha kusalia katika kikosi hicho na kupigania nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza cha...
-
Manchester United
/ 1 year agoRATCLIFFE KUWAFUTA KAZI WATENDAJI UTD.
Billionaire wa England Jim Ratcliffe (71) ataanza haraka kuiongoza klabu ya Manchester United mara baada ya Familia ya Glazer itakapoachia ngazi....
-
EPL
/ 1 year agoTEN HAG KUFUKUZWA KAMA MORINHO.
Manchester United jana Jumatano imepokea kichapo cha nne kwenye Ligi ya mabingwa Barani Ulaya kutoka kwa Copenhagen cha 4-3, kipigo hicho...
-
Manchester United
/ 1 year agoMASHABIKI WASHANGAZWA NA RED CARD YA RASHFORD.
Kadi nyekundu aliyoonyeshwa mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford imeacha maswali mengi kwa mashabi na wachambuzi huku UEFA pia...
-
EPL
/ 1 year agoGARNACHO AKWEPA ADHABU KISA EMOJI.
Nyota wa klabu ya Manchester United Alejandro Garnacho alifikishwa mbele ya kamati ya nidhamu kujieleza alimaanisha nini kutumia emoji mbili zenye...
-
Manchester United
/ 1 year agoANTONY KUTOLEWA KWA MKOPO UNITED.
Klabu ya Manchester United ipo kwenye mpango wa kumtoa kwa mkopo kiungo mshambuliaji raia wa Brazil Antony Dos Santos kwenda Brazil.