-
International Football
/ 1 year agoRAIS PSG: MBAPPE BADO TUNAMUHITAJI.
Los Blancos wanaendelea kuhusishwa kwa kiasi kikubwa na mshambuliaji Kylian Mbappe, huku yeye mwenyewe akiendelea kuutumikia mkataba wake na klabu yake...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA SC YAACHANA NA ROBERTINHO.
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira...
-
Timu Zaidi
/ 1 year agoALIYETIMULIWA NA GARY NEVILLE APATA KAZI.
Kocha wa zamani wa klabu ya Salford City inayomilikiwa na Gwiji wa zamani wa klabu ya Manchester United Gary Neville baada...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoFEITOTO, BOCCO WAJUMUISHWA TAIFA STARS.
Feisal Salum hadi hivi sasa amefunga magoli matano (5) ndani ya Ligi kuu kandanda Tanzania Bara.
-
Manchester United
/ 1 year agoANTONY KUTOLEWA KWA MKOPO UNITED.
Klabu ya Manchester United ipo kwenye mpango wa kumtoa kwa mkopo kiungo mshambuliaji raia wa Brazil Antony Dos Santos kwenda Brazil.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoDAUDA: SIMBA KUFUNGWA 5 SIO STORI.
Mchambuzi wa soka nchini Shaffih Dauda amesema Simba kufungwa na Yanga sio stori kwasababu Yanga msimu huu imeshinda michezo minne magoli...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoFARHAN: HAKUNA GOLI LA KUMLAUMU MANULA.
Hakuna goli la kumlaumu Aishi hata moja pale sijaliona binafsi.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA YAISAMBARATISHA SIMBA
Yanga wameisambaratisha vibaya Simba hii leo kwa kuwanyuka mabao 5-1 katika mchezo ambao ulikuwa na nyakati na vipindi tofauti kwa timu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoWANAVYOINGIA LEO SIMBA V YANGA
SIMBA SC: 4-2-3-1 Aishi Manula anarejea kikosini leo kwa mara ya kwanza baada ya kukosekana uwanjani kwa muda mrefu kutokana na...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoVIKOSI VYA TIMU ZOTE SIMBA NA YANGA LEO.
Mchezo utaanza saa 17:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar Es Salaam.