-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA USO KWA USO NA IHEFU LEO.
Klabu ya Simba haijawahi kupoteza katika mchezo wake dhidi ya Ihefu, leo watashuka tena dimbani saa moja Jioni.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA MBELE KWA MBELE
Yanga wanapata ushindi wa pili mfululizo kwenye dimba la Benjamin Mkapa kwa kuwachapa Singida FG mabao 2-0 na kuendelea kujikita kileleni...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoNI SARE TENA KWA KMC NA TANZANIA PRISONS
KMC na Tanzania Prisons wametoka sare ya 1-1 ikiwa sare ya pili mfululizo kwa timu zote mbili kwenye mchezo wa ligi...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoVIKOSI, YANGA V SINGIDA
Hivi ndivyo walivoingia leo YANGA V SINGIDA FG SUBSTITUTIONS YANGA: MSHERI, KIBABAGE, BACCA, MKUDE, SUREBOY, MOLOKO, MAKUDUBELA, MUSONDA, MZIZE SUBSTITUTIONS SINGIDA...
-
African Football League
/ 1 year agoSIMBA HAINA KIKOSI CHA KUFIKA FAINALI CAFCL.
Mchambuzi wa soka nchini Gharib Mzinga amesema Simba inatakiwa kufanyika maboresho kwenye kikosi chao ili iweze kufika fainali ua CAF Champions...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoHUU HAPA MTOKO WA KITAIFA
MTOKO WA NYUMBANI : Jezi ya rangi ya Bluu yenye fito za Njano kwenye mikono itatumika na timu za taifa kwenye...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoTUKO KWENYE HALI NZURI DHIDI YA IHEFU-ROBERTINHO
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Roberto Oliveira amesema kuwa kikosi chake kipo tayari na kina ari nzuri kueleke mchezo wao dhidi...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoREAL MADRID NA SAUDIA, MAMBO SAFI
Klabu ya Real Madrid na Benki ya Uwekezaji ya Saudia (SAIB) wametia saini mkataba wa ushirikiano ambao utawezesha shirika hilo la...
-
EPL
/ 1 year agoANTONIO: TUPENI PESA, BOWEN ATUE ANFIELD.
Jarrod Bowen amemsifu Mohamed Salah kama mmoja wa wamaliziaji bora wa Ligi Kuu ya chini Uingereza (EPL)- siku chache baada ya...
-
Azam FC
/ 1 year agoMICHEZO YA LIGI KUU TANZANIA BARA LEO.
Ligi kuu Kandanda Tanzania Bara inaendelea hii leo kwa michezo miatatu kupigika Jijini Dar Es Salaam.