-
International Football
/ 1 year agoSIMBA IINGIE HIVI LEO DHIDI YA AL AHLY
Simba Sports Club, leo inakwenda kuandika historia kubwa sana kwa klabu na taifa kwa ujumla. Mbele ya viongozi wakubwa wa soka...
-
Simba
/ 1 year agoRAIS WA FIFA ATUA NCHINI KWAAJILI YA AFL.
Rais wa shirikisho la soka Duniani Gianni Infatino amewasili nchini tayari kwaajili ya kutazama ufunguzi wa AFL.
-
Simba
/ 1 year agoMCHEZAJI WA KUCHUNGWA ZAIDI SIMBA.
Jean Baleke, Kibu Denis, Chama na Luis Miquissone ndio wachezaji wa kuchungwa zaidi hii leo kwa upande wa Simba.
-
International Football
/ 1 year agoMCHEZAJI WA KUCHUNGWA AL AHLY.
Klabu ya Al Ahly ina nyota kadhaa ambao waliwahi kupita kwenye klabu kubwa Duniani wakiwa na udhoefu wa kutosha.
-
Azam FC
/ 2 years agoYANGA NA AZAM KUKIPIGA LUPASO.
Mchezo huo utapigwa Lupaso tofauti na awali ambapo ulipangwa kupigwa Azam Complex.
-
Simba
/ 2 years agoJULIO AITAKA SIMBA KUCHEZA KWA TAHADHARI.
Kocha wa zamani wa klabu ya Simba Julio Kihwelu amesema Simba wanapaswa kutumia kila nafasi wanayoipata katika mchezo wa kesho.
-
Chelsea
/ 2 years agoCHELSEA ILIPELEKA OFA NDOGO KUINASA SAINI YA MOHAMED KUDUS.
Klabu ya Ajax iligoma kumuuza nyota wake Mohamed Kudus kwenda Chelsea kwasababu ya dau dogo la uhamisho lililopelekwa na klabu hiyo.
-
International Football
/ 2 years agoROBERTINHO ANA IMANI NA WACHEZAJI WAKE KUELEKEA MCHEZO WA KESHO
Kocha wa klabu ya Simba Mbrazili Roberto Oliveira maarufu Robertinho amesema kuwa ana imani kubwa sana na uwezo na ubora wa...
-
Azam FC
/ 2 years agoAZAM KUMSAJILI KIPA WA TABORA UNITED JANUARY.
Klabu ya Azam ina mpango wa kumuongeza kikosini Djuma Shaban na John Noble kwenye dirisha dogo la mwezi January.
-
Azam FC
/ 2 years agoBODI YA LIGI YAFANYA MAREKEBISHO MICHEZO YA YOUNG AFRICANS.
Bodi ya Ligi imefanya mabadiliko ya michezo miwili ya Young Africans, dhidi ya Azam na Dhidi ya Singida Fountain Gate.