-
CAF Champions League
/ 1 year agoSIMBA KUFUZU ROBO FAINALI CAF CL NI MAAMUZI YAO.
Klabu ya ASEC Mimosas ya nchini Ivory Coast imechagua kuutumia uwanja wa Felix Houphouet Boigny kwaajili ya mchezo wao wa hatua...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoYANGA INA WAKATI MGUMU KUFUZU ROBO FAINALI CAF CL.
Baada ya Al ahly na CR Belouizdad kutoka suluhu ya bila kufungana inaiwafanya Al Ahly waongoze kundi kwa alama sita huku...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoSTARS KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI ZA FIFA AZERBAIJAN
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inatarajia kwenda nchini Azerbaijani Kwaajili ya mashindano madogo ya FIFA Series yatakayo husisha timu...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoTAIFA STARS YAPANDA NAFASI MBILI UBORA DUNIANI.
Tanzania imepanda nafasi mbili juu kwenye viwango vya shirikisho la soka Duniani FIFA kwa mwezi wa pili [February] zilizotolewa hii leo....
-
Simba
/ 1 year agoSIMBA KUANZA NA MTIBWA ZANZIBAR.
Klabu ya Simba imepewa kibali cha kuutumia uwanja wa New Amaan Complex uliopo visiwani Zanzibar kwaajili ya michezo yake ya Ligi...
-
EPL
/ 1 year agoNDOTO IMETIMIA – KOBBIE MAINOO.
Shujaa wa Man Utd, Kobbie Mainoo bado yuko katika mshtuko baada ya kufunga bao la kwanza katika Ligi Kuu ya nchini...
-
Simba
/ 1 year agoMATOLA AUKUBALI MOTO WA NYOTA WAPYA SIMBA.
Klabu ya Simba imemaliza mchezo wake wa michuano ya ASFC dhidi ya klabu ya Tembo kwa ushindi wa goli 4-0. Alikuwa...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoTAIFA STARS INAREJEA NCHINI KWA MAFUNGU.
Katibu mkuu wa wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa amethibitisha kuwa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kimesafiri...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoMASHUJAA TAIFA STARS WAMEREJEA NCHINI.
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kimerejea nchini kikitokea nchini Ivory Coast ambapo kilikuwa kinashiriki fainali za mataifa ya Afrika...
-
EPL
/ 1 year agoJÜRGEN KLOPP, AHSANTE KWA KUMBUKUMBU.
Uamuzi wa kushtua wa kocha wa klabu ya Liverpool Jürgen Klopp juu ya kuondoka Liverpool ni janga kwa klabu hiyo na...