

Simba
INONGA KUIKOSA MASHUJAA LEO KIGOMA.
Mlinzi kitasa wa klabu ya Simba Henock Inonga Bacca hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili klabu ya Mashujaa hii leo. Mchezo wa Simba dhidi ya Mashujaa utapigwa...
-
CAF Champions League
/ 1 year ago“YANGA IMETOLEWA NA TIMU DHAIFU KAMA SIMBA.” -AFISA SIMBA
Afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally ameonyesha wazi furaha yake juu ya kuondolewa klabu ya Yanga kwenye...
-
CAF Champions League
/ 1 year ago“AL AHLY IMECHOKA” – NYOTA PYRAMIDS AWATONYA SIMBA.
Klabu ya Simba leo itatupa karata yake ya mwisho ya kutafuta nafasi ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya Ligi ya...
-
Simba
/ 1 year agoSPIKA WA BUNGE AWATEMBELEA MAJERUHI MASHABIKI WA SIMBA.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akiambatana na Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete wamewatembelea...
-
Simba
/ 1 year agoSIMBA IWEKE PESA KUPATA WACHEZAJI WAZURI.
Ukiwasikiliza viongozi wa klabu ya Simba kwa asilimia kubwa wanasema dirisha lijalo watafanya maboresho makubwa sana. Ukimsikiliza Kocha Benchikha nae anasema...
-
Simba
/ 1 year agoMECHI YA SIMBA NA JWANENG KUPIGWA SAA MOJA JIONI.
Klabu ya Simba itashuka dimbani Jumamosi, March 02 kuikabili klabu ya Jwaneng Galaxy, mchezo ambao utapigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa,...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoSIMBA KUIFUATA ASEC IVORY COAST ALFAJIRI.
Klabu ya Simba inatarajiwa kuanza safari Jumatano Alfajiri kuelekea nchini Ivory Coast kwaajili ya mchezo wa tano wa hatua ya makundi...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoSIMBA KUFUZU ROBO FAINALI CAF CL NI MAAMUZI YAO.
Klabu ya ASEC Mimosas ya nchini Ivory Coast imechagua kuutumia uwanja wa Felix Houphouet Boigny kwaajili ya mchezo wao wa hatua...
-
Simba
/ 1 year agoSIMBA KUANZA NA MTIBWA ZANZIBAR.
Klabu ya Simba imepewa kibali cha kuutumia uwanja wa New Amaan Complex uliopo visiwani Zanzibar kwaajili ya michezo yake ya Ligi...
-
Simba
/ 1 year agoMATOLA AUKUBALI MOTO WA NYOTA WAPYA SIMBA.
Klabu ya Simba imemaliza mchezo wake wa michuano ya ASFC dhidi ya klabu ya Tembo kwa ushindi wa goli 4-0. Alikuwa...