-
Simba
/ 1 year agoSIMBA IFANYE MABADILIKO YA VIONGOZI.
Kocha wa za,ami wa klabu ya Simba Patrick Aussems aliwahi kusema kuwa ili Simba iweze kukua inapaswa kufanya mabadiliko ya viongozi.
-
Simba
/ 1 year agoTAKWIMU ZA ROBERTINHO AKIWA SIMBA.
Robertinho ameiongoza Simba katika michezo 18 ya Ligi, ikishinda michezo 15, ikipoteza mchezo mmoja na kutoa sare michezo miwili (2).
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA SC YAACHANA NA ROBERTINHO.
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoDAUDA: SIMBA KUFUNGWA 5 SIO STORI.
Mchambuzi wa soka nchini Shaffih Dauda amesema Simba kufungwa na Yanga sio stori kwasababu Yanga msimu huu imeshinda michezo minne magoli...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoFARHAN: HAKUNA GOLI LA KUMLAUMU MANULA.
Hakuna goli la kumlaumu Aishi hata moja pale sijaliona binafsi.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA YAISAMBARATISHA SIMBA
Yanga wameisambaratisha vibaya Simba hii leo kwa kuwanyuka mabao 5-1 katika mchezo ambao ulikuwa na nyakati na vipindi tofauti kwa timu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoWANAVYOINGIA LEO SIMBA V YANGA
SIMBA SC: 4-2-3-1 Aishi Manula anarejea kikosini leo kwa mara ya kwanza baada ya kukosekana uwanjani kwa muda mrefu kutokana na...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoVIKOSI VYA TIMU ZOTE SIMBA NA YANGA LEO.
Mchezo utaanza saa 17:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar Es Salaam.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoREKODI MECHI 38 ZA SIMBA NA YANGA.
Leo uwanja wa Benjamini Mkapa unaenda kushudia mchezo mkubwa Afrika mashariki na Kati, kati ya Simba na Yanga, hizi ni rekodi...
-
Simba
/ 1 year agoSIMBA YALAMBA BILLION 1.5 KUTOKA SBL.
Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya Billion 1.5 na kampuni ya Bia ya SBL.