

Taifa Stars
SAKATA LA DICKSON JOB NA TFF LAIBUA WADAU WA SOKA.
Nyota wa klabu ya Yanga Dickson Job amekosekana kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kilichoitwa na kaimu kocha mkuu Hemed Suleiman jambo ambalo lilizua...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoSAMATTA, JOB WATEMWA STARS, MASHABIKI WANG’AKA.
Kocha mkuu wa muda wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Hemed Suleiman ametaja kikosi chake kitakachoelekea nchini Azerbaijan kwaajili...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoSTARS KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI ZA FIFA AZERBAIJAN
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inatarajia kwenda nchini Azerbaijani Kwaajili ya mashindano madogo ya FIFA Series yatakayo husisha timu...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoTAIFA STARS YAPANDA NAFASI MBILI UBORA DUNIANI.
Tanzania imepanda nafasi mbili juu kwenye viwango vya shirikisho la soka Duniani FIFA kwa mwezi wa pili [February] zilizotolewa hii leo....
-
Taifa Stars
/ 1 year agoTAIFA STARS INAREJEA NCHINI KWA MAFUNGU.
Katibu mkuu wa wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa amethibitisha kuwa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kimesafiri...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoMASHUJAA TAIFA STARS WAMEREJEA NCHINI.
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kimerejea nchini kikitokea nchini Ivory Coast ambapo kilikuwa kinashiriki fainali za mataifa ya Afrika...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoMZIZE NDIYE MSHAMBULIAJI HATARI KWASASA – UHURU SULEIMANI.
Nyota wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania Uhuru Suleiman Mwambungu amesema kuwa kwenye mashindano ya...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoMGUNDA: TUKIJUA UMUHIMU WA MASHINDANO HAYA TUTAFANYA MAAJABU.
Timu ya Taifa ya Tanzania imeweka historia kwenye michuano ya AFCON 2023 tangu imeanza kushiriki kwa mara ya kwanza imevuna alama...
-
AFCON
/ 1 year agoSHAFFIH DAUDA: NAWAPA NAFASI CONGO DR KUSHINDA LEO.
Timu ya Taifa ya Tanzania inatarajia kutupa karata yake ya mwisho ya hatua ya makundi ya fainali za mataifa ya Afrika...
-
AFCON
/ 1 year agoKOCHA STARS: MCHEZO WA KESHO NI FAINALI KWETU.
Kaimu kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Hemed Suleiman ameweka wazi kuwa mechi ya kesho dhidi ya...