-
Taifa Stars
/ 1 year agoSTARS KUSHUKA DIMBANI LEO DHIDI YA NIGER.
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itashuka dimbani hii leo majira ya saa moja jioni [19:00] kukipiga dhidi ya timu...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoGOLIKIPA KAWAWA AFURAHIA KUITWA STARS
Golikipa wa Taifa Stars, Kwesi Kawawa amezungumzia furaha yake ya kuitwa kwa mara ya kwanza kwenye timu ya taifa lake na...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoFEITOTO, BOCCO WAJUMUISHWA TAIFA STARS.
Feisal Salum hadi hivi sasa amefunga magoli matano (5) ndani ya Ligi kuu kandanda Tanzania Bara.
-
Taifa Stars
/ 1 year agoTANZANIA KUWANIA TUZO YA TIMU BORA AFRIKA.
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imewekwa kwenye kipengele cha tuzo ya timu bora ya mwaka Barani Afrika, tuzo zinazotolewa...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoHUU HAPA MTOKO WA KITAIFA
MTOKO WA NYUMBANI : Jezi ya rangi ya Bluu yenye fito za Njano kwenye mikono itatumika na timu za taifa kwenye...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoTANZANIA NAFASI YA 122 DUNIANI.
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora Duniani vilivyotolewa na shirikisho la soka...
-
Taifa Stars
/ 2 years agoKOCHA STARS: MAKIPA WAZAWA WACHEZE TIMU KUBWA.
Timu ya Taifa sio sehemu ya kuendeleza wachezaji bali ni sehemu ya kutumia wachezaji walioendelezwa na klabu yao.
-
Taifa Stars
/ 2 years agoTAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA SUDAN.
Taifa Stars imetoka sare ya 1-1 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Sudan uliofanyika Saudi Arabia.
-
Taifa Stars
/ 2 years agoTANZANIA NA SUDAN KUKIPIGA LEO.
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itacheza mchezo wake wa kirafiki hii leo dhidi ya Sudan saa moja kamili Jioni...
-
Taifa Stars
/ 2 years agoBENARD KAMUNGO ANA NAFASI YA KUCHEZA TAIFA STARS.
Mkurugenzi wa ufundi wa TFF Oscar Mirambo amesema bado wanaendelea na mchakato wa kuhakikisha Kamungo anaitumikia Stars.