All posts tagged "Basketball"
-
Michezo Mingine
/ 1 year agoDAR CITY B-BALL YAICHAKAZA KIUT
Mabingwa watetezi wa BD League, Dar City wameendeleza ubabe wao wa wimbi la ushindi baada ya kuwanyuka KIUT kwa Vikapu 83-54...
-
NBA
/ 1 year agoLEBRON JAMES AWEKA REKODI NYINGINE
Nyota wa mchezo mpira wa Kikapu nchini Marekani anayekipiga kwenye timu ya LA Lakers inayoshiriki ligi ya Kikapu ya nchini humo...
-
NBA
/ 1 year agoMATOKEO YA MECHI ZINGINE ZA NBA
MATCH MVP – NIKOLA JOKIC (DENVER NUGGETS), 26 pts, 14 Rebs, 8 Assists 2. BOSTON CELTICS 126 – 115 LOS ANGELES...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoPAZI YAONDOSHWA ROAD TO BAL
Timu ya mchezo wa mpira Kikapu ya Tanzania, Pazi, ineondolewa kwenye mashindano ya hatua ya pili kuingia hatua ya tatu(nusu fainali)...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoPAZI LAZIMA ISHINDE DHIDI YA DYNAMO KUFUZU NUSU FAINALI
Klabu ya Mchezo wa Mpira wa Kikapu kutoka Tanzania, ambao pia ndio mabingwa ligi ya mkoa ya Kikapu Dar es Salaam,...
-
NBA
/ 1 year agoDRAYMOND GREEN YAMMKUTA MAZITO NBA
Mchezaji wa timu ya Mpira wa Kikapu ya Golden State Warriors inayoshiriki ligi ya kikapu nchini Marekani, NBA, Draymond Green amekumbana...
-
NBA
/ 1 year agoBADO NIKO FITI – LEBRON JAMES
Mchezaji wa Los Angeles Lakers wa ligi ya kikapu ya nchini marekani na Staa wa mchezo huo nchini humo, LeBron James,...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoNIKOLA JOKIC NA DENVER YAKE, WANAPIGA TU
Denver Nuggets Jana waliinyuka Los angeles Clippers vikapu 111-108 kwenye mchezo wa makundi ya NBA Play In-Season Tournament na kupata ushindi...
-
NBA
/ 1 year agoGIANNIS AIPAISHA BUCKS
Giannis Antentokoumpo usiku wa kuamkia leo, aliifungia timu yake ya Milwaukee Bucks vikapu 35 na kuisaidia timu yake kupata ushindi wake...
-
NBA
/ 1 year agoBILA LEBRON JAMES, LAKERS WATAKATA NBA
Los Angeles Lakers walipata ushindi wa 116-110 dhidi ya Portland Trail Blazers kwenye mchezo wa ligi ya kikapu nchini marekani, NBA,...