All posts tagged "Featured"
-
Manchester United
/ 1 year agoERIKSEN NI BORA KULIKO AMRABAT.
Kiungo wa zamani wa Manchester United Paul Scholes amesema mchezo wa Manchester United dhidi ya Copenhagen ulikuwa kama wa Europa.
-
Real Madrid
/ 1 year agoJUDE BELLINGHAM AFIKIA REKODI YA KAREMBEU
Jude Bellingham ni mchezaji wa pili kufunga bao katika mechi zake tatu za kwanza za Ligi ya Mabingwa barani Ulaya akiwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoJKT TANZANIA YAITANDIKA TABORA UNITED LIGI KUU
JKT Tanzania wakiwa nyumbani kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi wamefanikiwa kupata ushindi wa 1-0, goli likifungwa na Maka Edward dakika...
-
Al-Nassr
/ 1 year agoRONALDO KUMSUBIRI DE BRUYNE AL NASRI
Klabu ya Al-Nasr ya Saudi Arabia tayari inafikiria jinsi ya kuimarisha kikosi chao katika kipindi hiki cha majira ya baridi kali....
-
Ligue 1
/ 1 year agoMAMADOU SAKHO KUPIGWA PANGA MONTPELLIER
Beki wa zamani wa Liverpool Mamadou Sakho inasemekana alimshambulia meneja wa Montpellier Michel Der Zakarian baada ya mazoezi Jumanne jioni, na...
-
Uefa Champions League
/ 1 year agoNOVATUS KUIKABILI BARCELONA UCL LEO.
Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas atashuka Dimbani hii leo kuikabili FC Barcelona akiwa na kikosi cha Shakhtar Donetsk kwenye...
-
Top Story
/ 1 year agoKASHFA, MESSI KUBEBA BALLON D’OR.
Mshambuliaji wa klabu ya Westham United anaamini kama Messi atabeba tuzo ya Ballon d'or msimu huu basi itakuwa ni kashfa kubwa.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoLIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA LEO.
Ligi kuu kandanda Tanzania Bara inataraji kuendelea hii leo kwa michezo mitatu kufanyika katika viwanja vitatu tofauti nchini, hizi ni takwimu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMUDATHIR YAHAYA KUIKOSA KARIAKOO DERBY?
Wachezaji wawili wa Yanga na Azam FC watarajie rungu la Tsh.500,000 (laki tano) na kufungiwa mechi tatu kutoka bodi ya ligi...
-
International Football
/ 1 year agoCASEMIRO “NAJUTA KUJIUNGA MAN UNITED”
Ripoti ya kushangaza imedai kwamba Casemiro “anajuta” kujiunga na Manchester United baada ya kushuhudia “kuyumba kwa taasisi” huko Old Trafford. Huku...