All posts tagged "Featured"
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMAAFANDE WASHINDWA KUTAMBIANA SOKOINE
Mpira ulianza taratibu dakika 15 za mwanzo kila timu ikimmsoma mpinzani wake. Sio prisons wala JKT waliopeleka mashambulizi ya nguvu kwa...
-
African Football League
/ 1 year agoENYIMBA KUIKABILI WYDAD AFL LEO.
Klabu ya Enyimba hii leo inaamini itaenda kupata ushindi mzito kwenye mchezo wake wa African Football League dhidi ya Wydad hii...
-
African Football League
/ 1 year agoTP MAZEMBE KUKIPIGA NA ESPERANCE UWANJA WA MKAPA LEO.
TP Mazembe imechagua kucheza mchezo wake dhidi ya Esperance leo uwanja wa Benjamin Mkapa kutokana na uwanja wake kutokukidhi matakwa ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoLIGI KUU TANZANIA BARA LEO.
Tanzania Prison ina wastani mzuri zaidi wa kushinda mbele ya JKT Tanzania. Nani kuibuka mbabe leo sokoine ?.
-
Uhamisho
/ 1 year agoSUAREZ KUMFUATA MESSI MIAMI.
Klabu ya Inter Miami imefikia makubaliano na Gremio ya nchini Brazil kumuachia nyota wa Uruguay Luis Suarez kwenye dirisha kubwa la...
-
Azam FC
/ 1 year agoAZAM FC KUMKOSA BANGALA JUMATATU.
Ofisa habari wa klabu ya Azam Hashim Ibwe amesema timu yake ipo tayari kupambana na Yanga Jumatatu.
-
Betting Tips
/ 1 year agoMKEKA POINT
Aston Villa wako nyumbani kuikaribisha West Ham lakini ni kama umekuwa uwanja wa nyumbani wa The Hummers pia kwani hawajawahi kupoteza...
-
International Football
/ 1 year agoSIR BOBBY CHARLTON AFARIKI DUNIA, SABABU YA KIFO YATAJWA
Gwiji wa soka wa zamani wa Manchester United na Uingereza, Sir Bobby Charlton amefariki dunia hii leo akiwa amezungukwa na familia...
-
Michezo Mingine
/ 1 year agoHASHEEM THABEET KUIBEBA PAZI GAME 3: ROAD TO BAL
Mchezaji wa mpira wa Kikapu, Hasheem Thabeet anatarajiwa kuiongoza timu yake ya Pazi anayoichezea kwa muda kwenye mchezo wao wa 3...
-
African Football League
/ 1 year agoSIMBA YAIANZA SAFARI KUELEKEA MISRI.
Klabu ya Simba imeianza safari hii leo kuelekea nchini Misri katika mchezo wa marejeano ya African Football League dhidi ya Al...