All posts tagged "Featured"
-
International Football
/ 1 year agoHIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBAKINACHOANZA LEO, SIMBA V AL AHLY
SIMBA SC : MFUMO; 4-2-3-1 SUBSTITUTIONS Mzamiru Yassin na Fabrice Ngoma watacheza kama Viungo wa chini Wakabaji, Clatous Chama na Miquissone...
-
International Football
/ 2 years agoMPIRA RASMI WA MICHUANO YA AFRICAN FOOTBALL LEAGUE.
Macron ndio mpira rasmi utakaotumika katika michuano ya Football League kwa msimu huu wa kwanza.
-
International Football
/ 2 years agoRAIS WA FIFA AIPONGEZA TANZANIA.
Rais wa FIFA ameipongeza Tanzania kwa namna inavyopiga hatua katika ukuaji wa soka.
-
International Football
/ 2 years agoKOMBE LA AFRICAN FOOTBALL LEAGUE LAZINDULIWA, TANZANIA YASIFIWA
Raisi wa Shirikisho la Soka la Afrika, Dr. Patrice Motsepe, amezindua Kombe rasmi la AFRICAN FOOTBALL LEAGUE 2023 mchana huu kwenye...
-
CAF Champions League
/ 2 years agoAFL ITAHUSISHA TIMU 24 MSIMU UJAO.
Rais wa shirikisho la soka Barani Afrika amesema msimu ujao African Football league itahusisha timu 24.
-
International Football
/ 2 years agoSIMBA IINGIE HIVI LEO DHIDI YA AL AHLY
Simba Sports Club, leo inakwenda kuandika historia kubwa sana kwa klabu na taifa kwa ujumla. Mbele ya viongozi wakubwa wa soka...
-
Simba
/ 2 years agoRAIS WA FIFA ATUA NCHINI KWAAJILI YA AFL.
Rais wa shirikisho la soka Duniani Gianni Infatino amewasili nchini tayari kwaajili ya kutazama ufunguzi wa AFL.
-
Simba
/ 2 years agoMCHEZAJI WA KUCHUNGWA ZAIDI SIMBA.
Jean Baleke, Kibu Denis, Chama na Luis Miquissone ndio wachezaji wa kuchungwa zaidi hii leo kwa upande wa Simba.
-
International Football
/ 2 years agoMCHEZAJI WA KUCHUNGWA AL AHLY.
Klabu ya Al Ahly ina nyota kadhaa ambao waliwahi kupita kwenye klabu kubwa Duniani wakiwa na udhoefu wa kutosha.
-
International Football
/ 2 years agoAFC YAKATAA PALESTINA KUCHEZA ALGERIA.
Shirikisho la soka Barani Asia limekataa ombi la shirikisho la soka nchini Palestina kuhusu kuhamishia michezo yake nchini Algeria.