All posts tagged "Featured"
-
Makala Nyingine
/ 2 years agoSANE KUWA MBADALA WA MO SALAH LIVERPOOL.
Klabu ya Liverpool ina mpango wa kumsajili Leroy Sane kama mbadala wa Mo Salah endapo atatimka kikosini hapo.
-
EPL
/ 2 years agoTIELEMANS KUTIMKIA GALATASARAY JANUARY.
Nyota wa zamani wa klabu ya Leicester City anayekipiga Aston Villa Youri Tielemans hana furaha ndani ya kikosi hicho.
-
International Football
/ 2 years agoSAUDI ARABIA MDHAMINI MKUU AFRICAN FOOTBALL LEAGUE
Saudi Arabia imeingia kwenye ushirikiano wa kihistoria wa miaka mitano na soka la Afrika ukihusisha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na...
-
International Football
/ 2 years agoTP MAZEMBE, ESPERANCE KUKIPIGA KWA MKAPA
Klabu ya Tp Mazembe ya DR Congo imeomba mchezo wao dhidi ya Esperance De Tunis kutoka Tunisia unaozikutanisha timu hizo kwenye...
-
Taifa Stars
/ 2 years agoKOCHA STARS: MAKIPA WAZAWA WACHEZE TIMU KUBWA.
Timu ya Taifa sio sehemu ya kuendeleza wachezaji bali ni sehemu ya kutumia wachezaji walioendelezwa na klabu yao.
-
Azam Sports Federation
/ 2 years agoIHEFU SC YAMTAMBULISHA MOSES BASENA
Klabu ya Ihefu Sc imemtangaza Moses Basena raia wa Uganda kuwa kocha wao Mkuu akirithi nafasi ya Zubeir Katwila. Basena aliwahi...
-
Taifa Stars
/ 2 years agoTAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA SUDAN.
Taifa Stars imetoka sare ya 1-1 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Sudan uliofanyika Saudi Arabia.
-
NBC Premier League
/ 2 years agoSINGIDA YATANGAZA KOCHA MPYA.
Singida Fountain Gate imemtangaza Heroin Ricardo kuwa kocha wake mkuu akichukua nafasi ya Ernest aliyetimka wiki chache zilizopita.
-
Taifa Stars
/ 2 years agoTANZANIA NA SUDAN KUKIPIGA LEO.
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itacheza mchezo wake wa kirafiki hii leo dhidi ya Sudan saa moja kamili Jioni...
-
AFCON
/ 2 years agoRATIBA YA TAIFA STARS AFCON 2023 KUNDI F.
Taifa Stars itaanza kucheza na Morocco kwenye Fainali za mataifa ya Afrika kundi F January 17.