All posts tagged "Featured"
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA YAREJEA KILELENI KIBABE
Yanga wamefanikiwa kurejea tena kileleni mwa Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-1...
-
Top Story
/ 1 year agoBIBI WA MIAKA 90 APONA KUTEKWA BAADA YA KUTAJA JINA LA MESSI.
Mwanamama wa miaka 90 ameepuka kutekwa na kundi la Hamas baada ya kuwaambia kuwa ametoka nchi moja na Leonel Messi [Argentina]....
-
EPL
/ 1 year agoPEP GUARDIOLA AKIRI MARCELO BIELSA NDIYE KOCHA BORA.
Kocha mkuu wa kikosi cha Manchester City Pep Guardiola ameweka wazi kuwa kocha wa zamani wa Leeds ambaye kwasasa anaifundisha timu...
-
EPL
/ 1 year agoHAALAND ATAMANI KUKUTANA NA VIRGIL VAN DJIK.
Nyota wa klabu ya Manchester City Erling Haaland kuelekea mchezo wao dhidi ya Liverpool ametanabaisha kuwa moja ya watu anaotamani kukutana...
-
EPL
/ 1 year agoIZAGHI AHUSISHWA KUJIUNGA MANCHESTER UNITED.
Kocha mkuu wa kikosi cha Inter Milan Simion Inzaghi baada ya kuhusishwa kujiunga na kikosi cha Manchester United ameweka wazi kuwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoNYOTA WA ZAMANI SIMBA AWEKA UBORA WA CHAMA NA PACOME.
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania Mtemi Ramadhan leo akizungumza na kitu cha...
-
Uefa Champions League
/ 1 year agoANCELOTTI AWAJIBU WALIOMKOSOA KUMTOA CAMAVINGA.
Klabu ya Real Madrid imefuzu kwenda hatua ya robo fainali ya Ligi ya mabingwa Barani Ulaya msimu huu kwa kuiondosha klabu...
-
Serie A
/ 1 year agoDE ROSS NDIYE FERGUSON MPYA WA ITALIA.
Nyota wa zamani wa klabu ya AS Roma Zbigniew Boniek anaamini kuwa kama klabu hiyo itaendelea kumuamini kocha wa mpito wa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSINGIDA FG FC YAVUNJA BENCHI ZIMA LA UFUNDI
Klabu ya Singida Fountain Gate imetangaza kuvunja benchi zima la ufundi la klabu hiyo lililokuwa likiongozwa na kocha raia wa Afrika...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoDODOMA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED
Baada ya kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Azam, Dodoma Jiji wamerejea kwenye njia ya ushindi baada ya kuwafunga Tabora United...