All posts tagged "Featured"
-
Top Story
/ 1 year agoGUARDIOLA: ALONSO ANATUMIA AKILI SANA.
Kocha mkuu wa kikosi cha Manchester City Pep Guardiola amemzungumzia kocha wa Bayer Leverkusen Xabi Alonso kama kocha mbishia na mwenye...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoJKT TANZANIA NA KMC HAKUNA MBABE, MTIBWA AKISOTA MANUNGU
JKT Tanzania walitangulia kupata goli kupitia kwa Najimu Magulu dakika ya 8 ya mchezo akipokea pasi kutoka kwa Sixtus Sabilo aliyefanya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoTIMU TATU ZA LIGI KUU NA CHAMPIONSHIP KUBADILI MAJINA.
Kwamujibu wa ripoti mbalimbali zinasema kuwa klabu ya Ihefu yenye maskani yake mkoani Singinda inampango wa kubadilisha jina na kuwa Singida...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoJWANENG GALAXY YAWASILI NCHINI KUIKABILI SIMBA.
Klabu ya Jwaneng Galaxy kutoka Botswana tayari imefika nchini Tanzania kwaajili ya mchezo wao wa Ligi ya mabingwa Barani Afrika dhidi...
-
EPL
/ 1 year agoLAMPARD: KOBBIE NI BORA ZAIDI YA CASEMIRO NA RODRI.
Nyota wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya Taifa ya England Frank Lampard anaamini kuwa nyota wa sasa wa...
-
EPL
/ 1 year agoFERDINAND: ARTETA AKIHITAJIKA UNITED ATAKIMBILIA.
Nyota wa zamani wa klabu ya Manchester Unitef Rio Ferdinand ametanabaisha kuwa kama Manchester United itamchagua kocha wa Arsenal Mikel Arteta...
-
Top Story
/ 1 year agoSERIKALI CAMEROON KULICHUNGUZA SHIRIKISHO LA SOKA.
Taarifa kutoka nchini Cameroon zinasema kuwa Rais wa nchi ya Cameroon Paul Biya ameamua kuingilia kati uteuzi wa kocha mpya wa...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoYANGA KUANZA SAFARI YA MISRI LEO.
Klabu ya Yanga inatarajiwa kuanza safari hii leo majira ya saa 11:55 Jioni kuelekea nchini Misri kwaajili ya mchezo wa hatua...
-
Simba
/ 1 year agoMECHI YA SIMBA NA JWANENG KUPIGWA SAA MOJA JIONI.
Klabu ya Simba itashuka dimbani Jumamosi, March 02 kuikabili klabu ya Jwaneng Galaxy, mchezo ambao utapigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa,...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoAHMED ALLY: KUFUZU YANGA ROBO SIFA APEWE MO DEWJ
Klabu ya Simba inatarajiwa kushuka dimbani jumatano hii kuikabili klabu ya TRA kwenye mwendelezo wa kombe la shirikisho [ASFC] nchini Tanzania,...