All posts tagged "Featured"
-
CAF Champions League
/ 1 year agoAL AHLY YAOMBA MCHEZO NA MEDEAMA WA CAF CL USOGEZWE.
Mabingwa wa Afrika Al ahly wameomba mechi yao dhidi ya Madeama ichezwe jumamosi badala ya ijumaa baada ya usafiri wao wa...
-
Top Story
/ 1 year agoMIRAMBO: AFCON U17 KUZALISHA NYOTA 130 KUCHEZA ULAYA.
Oscar Mirambo mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la ufundi nchini Tanzania ameeleza namna ambavyo nchini imefanikiwa baada ya kushiriki michuano mikubwa...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoJALLOW: YANGA NI KAMA MAMELODI SUNDOWNS AU AL AHLY.
Mshambuliaji wa klabu ya CR Belouizdad Lamin Jallow baada ya kutua Tanzania ameweka wazi kiwa klabu wanayoenda kucheza nayo [Yanga] ni...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoASEC: TUTAIFUNGA SIMBA TUANDIKE HISTORIA.
Klabu ya Asec Mimosas ina mpango wa kuandika historia mpya kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika kwa kumaliza vinara...
-
Yanga
/ 1 year agoMZIZE NI MCHEZAJI WA KUTUNZWA NCHINI.
Dunia nzima kwasasa inahaha sana kupata washambuliaji wa kati, kwasababu uzalishaji wa watu hao umepungua kwa kiasi kikubwa. Pale Liverpool kuna...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKIDAO: TUTAFUNGA VAR MBILI KUPUNGUZA MAKOSA YA WAAMUZI.
Katibu mkuu wa shirikisho la soka nchini Tanzania Wilfred Kidao mapema leo wakati akizungumza na EFM radio ametolea ufafanuzi juu ya...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoMESSI: TUZO ZOTE NILIZOSHINDA ZIPO BARCELONA.
Nyota wa klabu ya Inter Miami na timu ya Taifa ya Argentina Leonel Messi ameweka wazi kuwa tuzo yake ya nane...
-
Top Story
/ 1 year agoWATANZANIA WASHINDA AGT NA KUPOKEA MILLION 635.
Kundi la wanasarakasi wawili kutoka Tanzania linalojulikana kwa jina la Ramadhan Brothers linalomjumuisha Fadhili Ramadhan na Ibrahim Jobu limeibuka na ushindi...
-
Azam Sports Federation
/ 1 year agoYANGA KUIKABILI POLISI TANZANIA LEO ASFC.
Klabu ya Yanga inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kucheza dhidi ya klabu ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa ASFC unaotarajiwa kupigwa...
-
Top Story
/ 1 year agoASITISHIWA MKATABA KISA KUJISAJILI MTANDAO WA MAHUSIANO.
Klabu ya Besiktas ya nchini Uturuki imevunja mkataba na kiungo wake mshambuliaji Emirhan Delibas (21) baada ya wasifu wake kuonekana kwenye...