All posts tagged "Featured"
-
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA MBELE KWA MBELE, YAIVURUMISHA SINGIDA FG
Young Africans wameendelea kujizatiti kileleni wakipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Singida FG na kufikisha alama 55 kwenye mchezo uliopigwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA WAKWAMA LITI, JKT TANZANIA WAKIWATIBULIA TABORA UNITED
Klabu ya Soka ya Simba imeshindwa kuibuka na alama 3 mbele ya Ihefu kwenye mchezo uliokuwa na ushindani wa aina yake...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMZANI SAWA GEITA GOLD NA MTIBWA SUGAR
Goli la dakika za jioni la Omary Marungu lilitosha kuipa alama 1 muhimu ugenini Mtibwa Sugar kwenye mbio za kupambania kusalia...
-
-
NBC Premier League
/ 1 year agoCOASTAL UNION YATAKATA LAKE TANGANYIKA
Coastal Union wameendelea kuonyesha dhamira yao ya kucheza soka la Kimataifa msimu ujao baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoPRISONS, KMC ZATOSHANA NGUVU SOKOINE
Tanzania Prisons na KMC wametoshana nguvu kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye dimba la Sokoine jijini...
-
CAF Champions League
/ 1 year ago“YANGA HATA WALALAMIKE VIPI HALIKUWA GOLI LILE” – Victor Hlungwani
Mwamuzi wa zamani wa FIFA raia wa Afrika kusini Victor Hlungwani ameeleza kuwa mpira uliopigwa na Aziz Ki ukagonga mwamba na...
-
Simba
/ 1 year agoINONGA KUIKOSA MASHUJAA LEO KIGOMA.
Mlinzi kitasa wa klabu ya Simba Henock Inonga Bacca hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili klabu ya Mashujaa hii leo. Mchezo wa...
-
Top Story
/ 1 year agoRODRYGO ALIIKATAA LIVERPOOL KISA SANTOS.
Nyota wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Brazil Rodrygo Goes aliikataa ofa ya Liverpool alipohitajika kipindi alipikuwa...