All posts tagged "Featured"
-
Top Story
/ 1 year agoNSUE: SHIRIKISHO LIMEKULA PESA YA TIMU YA TAIFA.
Nahodha wa timu ya Taifa ya Equatorial Guinea Emilio Nsue baada ya kufungiwa na shirikisho la soka la nchi hiyo ametoa...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoSTARS KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI ZA FIFA AZERBAIJAN
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inatarajia kwenda nchini Azerbaijani Kwaajili ya mashindano madogo ya FIFA Series yatakayo husisha timu...
-
Uhamisho
/ 1 year agoMBAPPE KUIGHARIMU LIGI YA UFARANSA TZS BILLION 382.
Nyota wa klabu ya PSG Kylian Mbappe anatarajia kuondoka mwishoni mwa msimu huu klabuni hapo mara baada ya mkataba wake kufikia...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoAZAM YASHINDA, KAGERA YABANWA
Azam FC wameibuka na ushindi muhimu kwenye mbio za kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa mabao 2-1 dhidi ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA YAUZINDUA MEJA JEN. ISAMUHYO KWA USHINDI
Simba wamezidi kuwasogelea vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga kwa kufikisha alama 36, alama 4 nyuma ya vinara hao...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoTAIFA STARS YAPANDA NAFASI MBILI UBORA DUNIANI.
Tanzania imepanda nafasi mbili juu kwenye viwango vya shirikisho la soka Duniani FIFA kwa mwezi wa pili [February] zilizotolewa hii leo....
-
Top Story
/ 1 year agoMFUNGAJI BORA AFCON 2023 AFUNGIWA TIMU YA TAIFA.
Mfungaji bora wa michuano ya AFCON 2023 Emilio Nsue [34] amesimamishwa kuitumikia timu ya Taifa ya Equatorial Guinea baada ya kuonyesha...
-
Top Story
/ 1 year agoRAIS AS VITA: LIGI YA RWANDA MBOVU.
Taarifa kutoka nchini Rwanda zilikuwa zinaeleza kuwa mshambuliaji wa klabu ya Rayon Sport ya Rwanda Heritier Luvumba amevunjiwa mkataba na klabu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA INA WASTANI WA KURUHUSU GOLI KILA MECHI.
Klabu ya Simba leo itashuka dimbani ugenini kwenye mwendelezo wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara kuikabili klabu ya JKT Tanzania kwenye...
-
Boxing
/ 1 year agoTPBRC: MWAKINYO HAWEZI KUPIGANA NA KIDUKU.
Kwa siku za hivi karibuni zimekuwa zikitoka taarifa za kuhitaji kupigana kwa mabondia wakubwa nchini Tanzania Hassan Mwakinyo na Twaha Kiduku...