All posts tagged "Featured"
-
Boxing
/ 1 year agoCHANGALAWE ASHINDA KWA RSC ROUND YA KWANZA NA KUTINGA NUSU FAINALI
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Ngumi “Faru Weusi wa Ngorongoro” Yusuf CHANGALAWE ameendeleza wimbi la ushindi kwa Tanzania baada ya...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoUJEZI WA UWANJA ARUSHA KUGHARIMU BILLION 286.
Serikali imetoa Shilingi bilioni 286 kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu Mkoani Arusha uliopewa jina la Dokta...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoWAAMUZI TOKA SUDAN KUCHEZESHA MECHI KUBWA.
Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi Tanzania Nassor Hamdun ameweka wazi kuwa huwa wanapata tabu sana kuchagua waamuzi wa kuchezesha michezo mikubwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKIEMBA ASIMULIA ALIVYOGOMBANA NA MGANGA KIPINDI ANACHEZA.
Nyota wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Amri Kiemba ameeleza kuwa kipindi anacheza...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoAFISA TFF ATOA UFAFANUZI JUU YA GHARAMA ZA MECHI ZA AL HILAL.
Afisa habari wa shirikisho la soka nchini Tanzania [TFF] Cliford Ndimbo ameeleza kuwa watalitolea ufafanuzi suala la nani atagharamikia kuisafirisha timu...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoSIMBA KUELEKEA ZANZIBAR LEO KUJIFUA KWAAJILI YA AL AHLY.
Klabu ya Simba kwa kipindi hiki cha mapumziko ya kupisha michezo ya timu za Taifa iliyo kwenye kalenda ya FIFA, wameamua...
-
EPL
/ 1 year agoBRUNO: KADI YA NJANO UKIVUA JEZI IFUTWE.
Nahodha wa klabu ya Manchester United Bruno Fernandes ameomba kama itawezekana kusiwe na kadi ya njano pale ambapo mchezaji atashangilia goli...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMASHUJAA KUANDIKA BARUA KUHUSU USALAMA MDOGO CHAMAZI.
Kwenye mchezo wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara jana kati ya Simba dhidi ya mashujaa uliomalizika kwa Simba kuibuka na ushindi...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoGAMONDI: NAJUA MAMELODI WAPO HAPA WANATUFUATILIA.
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema leo kuwa anajua vitu vingi sana kuhusu Mamelodi Sundowns na ameanza kulifuatilia...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoGAMODI AKIRI UGUMU KUCHEZA NA AZAM.
Kocha Gamondi amekiri kuwa wachezaji wake wanapitia kipindi kigumu sana hivi karibuni kutoka na uchovu wa mechi nyingi ndani ya muda...