All posts tagged "Featured"
-
Top Story
/ 1 year agoBABA YAKE LUIZ KUACHILIWA KARIBUNI.
Taarifa kutoka nchini Colombia zinasema kundi la ELN lililomteka Baba mzazi wa mchezaji wa Liverpool Luiz Diaz litamuachilia hivi karibuni.
-
Chelsea
/ 1 year agoTHIAGO SILVA: MIMI NI KOCHA TAYARI.
Beki wa Chelsea Thiago Silva yuko kwenye mipango ya kuwa kocha mkuu atakapomaliza maisha yake ya soka. Akiwa na umri wa...
-
EPL
/ 1 year agoTONEY, MEHEDI TAREMI NA OSIMHEN KUMSAIDIA HOJLUND UNITED.
Msaada kwa Rasmus Hojlund! Man Utd wanataka mshambuliaji mpya mwezi Januari kusaidia usajili wa pauni milioni 72 na kubainisha walengwa watatu....
-
NBC Premier League
/ 1 year agoLIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA LEO.
Takwimu za michezo mitatu (3) ya mzunguko wa tisa (9) wa Ligi kuu kandanda tanzania Bara zinazopigwa hii leo November 3.
-
Top Story
/ 1 year agoMCHEZAJI WYDAD AFARIKI KWA AJALI.
Rais wa klabu ya Wydad AC ametangaza kifo cha nyota wa kikosi hicho Osama Faloh aliyepata ajali ya gari wiki chache...
-
Top Story
/ 1 year agoERITREA YAJITOA KUSHIRIKI WORLD CUP.
Eritrea imejitoa kushiriki katika mashindano yote makubwa iliyopangwa kushiriki ikiwemo Afcon na kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia.
-
International Football
/ 1 year agoMAZUNGUMZO BABA WA LUIS DIAZ KUACHIWA YAENDELEA
Serikali ya nchini Colombia chini ya Rais Gustavo Petro, leo imetangaza kuwa kundi la ELN ndilo linalohusika kummshikilia mateka baba mzazi...
-
NBA
/ 1 year agoCURRY AWEKA REKODI NYINGINE
Stephen Curry usiku wa kuamkia leo, ameweka rekodi nyingine kwa kufikisha michezo 250 akifunga alama 3(3 Points shot) mfululizo kwenye ushindi...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMAANDALIZI YAKO VIZURI DERBY YA KARIAKOO.
Afisa habari wa bodi ya Ligi Tanzania Karim Boimanda amesema maandalizi kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo yanaendelea vyema
-
Betting Tips
/ 1 year agoMKEKA POINT
Ajax hawana msimu wa kuvutia sana kwani hata kwenye michezo yao 5 iliyopita hawajashinda hata mechi 1 huku wakifungwa mara 4...