All posts tagged "Featured"
-
Real Madrid
/ 1 year agoRODRYGO AJITIA KITANZI MADRID.
Rodrygo amesaini mkataba mpya na Real Madrid hadi msimu wa joto wa 2028. Tangazo hilo linakuja baada ya Mbrazil huyo kufurahia...
-
International Football
/ 1 year agoUGANDA YATANGAZA KOCHA MPYA.
Pot Joseph ametajwa kujiunga na kikosi hicho cha The Cranes akichukua nafasi ya Milutin aliyetimka kikosini hapo.
-
EPL
/ 1 year agoKULUSEVSKI: SOKA LA VIJANA NDIO MPANGO MZIMA
Winga wa Tottenham, Dejan Kulusevski ameeleza jinsi soka la ngazi ya chini linavyosaidia katika kuzalisha nyota wajao wa mchezo huo, huku...
-
International Football
/ 1 year agoMARTINEZ: MPAPPE ATASHINDA BALLON D’OR MWAKANI.
Emi Martinez wa Argentina alifikiria juu ya matarajio ya baadaye ya Kylian Mbappe Ballon d’Or, na kufunguka juu ya ushindani wake...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKMC IPO TAYARI KUIACHIA AZAM KOCHA MOALLIN.
Klabu ya KMC imesema haitakuwa na kizuizi chochote kama Azam ikimhitaji kocha wao Abdi Hamid Moallin.
-
African Football League
/ 1 year agoMAMELODI USO KWA USO NA WYDAD AC.
Mamelod imefuzu fainali baada ya kuiondosha Al Ahly, Wydad imefuzu kwa kuiondosha esperance de Tunis.
-
EPL
/ 1 year agoTEN HAG AWOMBA RADHI MASHABIKI MAN UNITED.
Eric Ten Hag amepoteza michezo mingi zaidi (8) kwenye mechi 15 za kwanza tangu msimu wa 1972/73 na baada ya matokeo...
-
Azam FC
/ 1 year agoAZAM FC YATAKATA LAKE TANGANYIKA
Mashujaa wanapoteza mchezo wao wa kwanza wakiwa nyumbani msimu huu kwa kukubali kichapo cha 3-0 mbele ya Azam FC ambao walikuwa...
-
International Football
/ 1 year agoIBRAHIMOVIC KUREJEA AC MILAN
Taarifa zinazomuhusisha mshambuliaji raia wa Sweden na mchezaji wa zamani wa vilabu vya Ajax, Juventus, Inter Milan, Barcelona, PSG, Man United,...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSINGIDA BS, IHEFU WATUNISHIANA MISULI
Singida BS na Ihefu wametoshana nguvu kwenye mchezo uliokuwa na upinzani wa hali juu na uliosheheni wachezaji wengi wa madaraja uliopigwa...