All posts tagged "Featured"
-
Boxing
/ 1 year agoPAMBANO LA USYK NA FURY LIPO.
Promota wa Bondia Oleksandr Usyk amesema pambano la December 23 lipo pale pale, Fury hawezi kulikwepa.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoTATHMINI MICHEZO YA LEO LIGI KUU YA NBC
JKT TANZANIA V DODOMA JIJI AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM SAA 10.00 JIONI Timu zote mbili zinaingia na kumbukumbu ya kupata...
-
Real Madrid
/ 1 year agoBELLINGHAM KUBEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA KIJANA.
Jude Belligham kubeba tuzo ya mchezaji bora kijana Duniani leo.
-
International Football
/ 1 year agoFIFA YAMFUNGIA RAIS WA ZAMANI WA HISPANIA.
Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka Duniani FIFA imefanya uamuzi huo baada ya kujiridhisha na ushahidi.
-
International Football
/ 1 year agoTUKO TAYARI KUWAKABILI BOTSWANA – SHIME
Kocha wa timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Bakari Shime amesema kuwa maandalizi yote ya muhimu kuelekea mchezo wa kesho...
-
EPL
/ 1 year agoKEANE: BRUNO HANA SIFA YA NAHODHA.
Roy Keane anaamini Bruno Fernandes sio aina ya nahodha ambaye angetamani kuwa naye kwenye kikosi chake licha ya kuwa na kipaji...
-
International Football
/ 1 year agoHAZARD: MESSI ANASTAHILI BALLON D’OR.
Eden Hazard anaamini Leonel Messi anastahili kubeba tuzo ya Ballon D'or kwasababu amebeba kombe la Dunia mwaka jana.
-
International Football
/ 1 year agoKOCHA WA ZAMANI SIMBA KUTANGAZWA BOTSWANA.
Shirikisho la soka nchini Botswana linatarajia kumtangaza hivi karibuni kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa hilo.
-
Simba
/ 1 year agoSIMBA YATEUA BARAZA LA USHAURI.
Simba imewateua wajumbe 24 watakaounda Baraza la ushauri la klabu hiyo.
-
EPL
/ 1 year agoLIGI KUU ENGLAND LEO NI MANCHESTER DERBY.
Leo ni vita ya majirani wawili kutoka Jiji la Manchester United, nani kuibuka kidedea hii leo ?.