Taarifa zinasema shirikisho la soka nchini Rwanda FERWAFA linasema wao kama shirikisho wajibu wao ni kusaidia panapohitajika, ilamambo mengine wanapanga wenyewe Al Merreikh ambao ndio wenye mchezo, ila kwa upande wa tiketi wanaamini wiki hii wanaweza wakapokea utaratibu kutoka kwa wenye mchezo namna ya kuuza tiketi
Al Merreikh licha ya kuwa wanatumia uwanja wa Kigali Pele Stadium kama uwanja wao wa nyumbani ila pia pre-season ya msimu waliweka nchini humo na hivyo inatajwa kuwa wameyazoea mazingira ya nchini humo.