Taifa Stars

KAMPUNI YA SANDALAND NA TFF MAMBO SAFI

Published on

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kampuni ya Sandaland Fashion Wear LTD wameingia mkataba wa miaka 5 wa Jezi kuzivalisha Timu za Taifa wenye thamani ya shilingi Bilioni 3

Ikumbukwe huu ni mkataba wa pili kwa kampuni ya Sandaland kusaini kwa ajili ya kuzivalisha timu za mpira ukiachilia mbali ule mkataba wa miaka miwili iliyoingia na klabu ya Simba SC

Popular Posts

Exit mobile version