International Football

Man United Wanogewa Afrika

Published on

Adekunle Gold

Baada ya hivi karibuni kuonyesha kuthamini wachezaji wake wa kiafrika, Amad Diallo(Ivory Coast), Andre Onana(Cameroon), Hannibal Mejbri(Tunisia) na mchezaji mpya Sofyan Amrabat(Morocco) na kuwapost, katika kuonyesha hali ya kunogewa Afrika, United leo wamezindua Mavazi yao mapya ya Kimtaa huku model mkuu akiwa MNigeria Adekunle Gold ambaye ni msanii maarufu wa muziki barani Afrika.

Popular Posts

Exit mobile version