Klabu ya AL Merreikh ya Sudan imetaja viingilio vya mchezo wao dhidi ya Young Africans, mchezo utakaopigwa Jumamosi ya tarehe 16 katika dimba la Pele lililopo Jiji la Kigali nchini Rwanda.
Kiingilio cha kawaida kwa pesa za kitanzania ni Tsh. 20,900/= , regular Tsh 52,300/= na VIP Tsh. 104,700/=
Mudathir Yahya akichuana na mchezaji wa Kaizer Chiefs katika mchezo wa kirafiki wa siku ya Mwananchi.