Simba

SIMBA SC YAITEMBEZEA KICHAPO PAN AFRICAN

Published on

Klabu ya Simba leo imeshinda mchezo wake wa Kirafiki dhidi ya Pan African FC kwa goli 4-0, magoli ya Saido Ntibanzokiza, Moses Phiri, Kibu Denis na Essomba Onana.

Mchezo huo wa kirafiki umepigwa kwenye uwanja wa mazoezi wa Simba Bunju, ikiwa ni mchezo wa kujiweka fiti kuelekea mechi yao ya marudiano dhidi ya Power Dynamos utakaochezwa Jumapili hii Oktoba 01, Uwanja wa Azam Complex

Popular Posts

Exit mobile version