International Football

CHAMA CHA SOKA KUINGILIA KATI SAKATA LA TEN HAG NA JADON SANCHO

Published on

Chama cha Wanasoka wa Kulipwa ambacho ni muungano wa wanasoka na wasomi wote wa sasa na wa zamani katika Ligi Kuu ya EPL, Ligi ya Wanawake ya FA na Ligi za Soka za Uingereza maarufu kama PFA kimejitolea kuwasaidia Jadon Sancho na Erik Ten Hag kutatua tofauti zao.

(Chanzo: Times Sport)

Chama hicho kimejitolea kuwawezesha wanasoka kutambua thamani yao, kulinda haki za wachezaji, kuwakilisha maoni yao na kutoa usaidizi kupitia aina mbalimbali ya changamoto wanazokutana nazo.

Hivi Karibuni Sancho alizuiliwa kutumia Miundombinu ya mazoezi inayotumiwa na wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Manchester United pamoja na kuzuiliwa kutumia chumba cha wachezaji ambacho hutumiwa kwaajili ya kula (Dining room)

Popular Posts

Exit mobile version