Betting Tips

MKEKA POINT

Published on

Aston Villa wako nyumbani kuikaribisha West Ham lakini ni kama umekuwa uwanja wa nyumbani wa The Hummers pia kwani hawajawahi kupoteza katika michezo mitano iliyopita hapo Villa Park.

Wote wametoa Sare kwenye michezo yao ya mwisho, Aston Villa dhidi ya Wolves lakini sare ya 4-4 dhidi ya Newcastle inakupa wazo kuwa mabao ytakuwa mengi kwenye mchezo huu. The Villains wamefunga katika mechi 8 mfululizo.

TIP: BTTS(BOTH TEAMS TO SCORE), OVER 2.5 AU MPE WEST HAM DOUBLE CHANCE.

Barcelona wako nafasi ya 3 kwenye msimao wa La Liga lakini wanajua ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya Bilbao ni muhimu kuwasogeza karibu na mahasimu wa Real Madrid lakini kucheza dhidi ya mpinzani ambaye yuko kwenye mood akitoka kushinda 3-0 dhidi ya Almeria na huku ukitoka kutoa sare ya 2-2 dhidi ya Granada, inaweza kutia shaka kidogo kwa vijana wa Xavi.

Lakini hii ndio timu ambayo Barca kaifunga magoli mengi zaidi kwenye historia ya La Liga, zaidi ya magoli 350, tatizo ni kwamba Barca naye anaruhusu sana magoli msimu huu.

TIP : BTTS(BOTH TEAMS TO SCORE) UHAKIKA ZAIDI.

AC Milan kashinda mechi zake 4 kati ya 5 na kujiweka nafasi ya 2 ya msimamo wa Serie A, wapo kwenye kiwango bora sana. Wanacheza na Juventus ambao kwenye mechi 5 zilizopita wameshinda Mechi 3, wakitoa sare 1 na Kufungwa 1. Lakini haijwahi kuwa mechi nyepesi ikiwakutanisha wababe hawa wa Serie A.

AC Milan walishinda 1-0 dhidi ya Genoa huku Juve wakiishinda Turin Derby 2-0 dhidi ya Torino. AC Milan hajapoteza kwenye michezo mitano dhidi yao katika uwanja wa San siro, haitoshi AC Milan hajaruhusu goli lolote kwenye michezo mitano ya mwisho dhidi ya bibi kizee cha Turin, lakini wanaenda kwenye mchezo huu mgumu bila golikipa wao namba moja, Maignan. Patamu hapo.

TIP : AC MILAN WIN AU OVER 1.5

Popular Posts

Exit mobile version