Connect with us

Azam FC

HIVI NDIVYO WALIVYOINGIA GAMONDI NA DABO LEO

YOUNG AFRICANS

MFUMO : 4-2-3-1

WANAOANZA:

1. DJIGUI DIARRA

2. DICKSON JOB

3. JOYCE LOMALISA

4. IBRAHIM BACCA

5. BAKARI MWAMNYETO

6. KHALID AUCHO

7. MAXI NZENGELI

8. MUDATHIR YAHYA

9. CLEMENT MZIZE

10. AZIZI KI

11. PACOME ZOUZOUA

SUBSTITUTIONS: MSHERY, SHOMARI, KIBABAGE, MAUYA, SUREBOY, MOLOKO, MAKUDUBELA, NGUSHI, KONKONI

UCHEZAJI :

Anakosekana  Yao Attohoula hivyo Dickson Job atacheza upande wa kulia kama ilivyo kwa Lomalisa upande wa kushoto wa ulinzi. Ibrahim Bacca anarejea kikosini kucheza sambamba na Nahodha, Bakari Mwamnyeto.

 Maxi Nzengeli , Pacome Zouzoua  na Stephane Aziz Ki  kwa pamoja utatu huu  utakuwa na jukumu la kummlisha Kijana Clement Mzize akicheza kama Mshambuliaji pekee. Huku Mudathir Yahya na Khalid Aucho wakifanya kazi chafu ya kiungo wa Ulinzi.

AZAM FC

MFUMO : 4-2-3-1

WANAOANZA :

1. IDRISSU BABA

2. LUSAJO MWAIKENDA

3. CHEIKH SIDIBE

4. MALICKOU NDOYE

5. DANIEL AMOAH(CAPTAIN)

6. SOSPETER BAJANA

7. DJIBRIL SYLLA

8. JAMES AKAMINKO

9. PRINCE DUBE

10. FEISAL SALUM

11. ABDUL SULEIMAN SOPU

SUBSTITUTIONS: AHAMADA, BANGALA, IDDY NADO, CHILAMBO, KIPRE JR., ALASSANE, MANYAMA, LYANGA, MBOMBO

UCHEZAJI:

Feisal Salum amekuwa kwenye moyo wa haya yote mara nyingi akicheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho, Prince Dube. Safu ya Kiungo cha ushambuliaji  itakamilishwa na Abdul Sopu na  Djibril Sylla. Sospeter Bajana na Akaminko wanatarajiwa kuwepo kwenye Mhimili kuwapa ulinzi safu yao ya Ulinzi, ikiwa na Lusajo Mwaikenda, Cheikh Sidibe, Malickou Ndoye na Nahodha Daniel Amoah kumlinda Idrissu.

Makala Nyingine

More in Azam FC