Taifa Stars

TANZANIA NAFASI YA 122 DUNIANI.

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora Duniani vilivyotolewa na shirikisho la soka Duniani FIFA leo.

Published on

Shirikisho la soka Duniani FIFA 26 October 2023 limetangaza viwango vya ubora kwa timu za Taifa Duniani, Argentina ikishika nafasi ya kwanza (1) kwa ubora Duniani huku Tanzania ikishika nafasi ya 122 ikipanda kwa nafasi mbili (2) kutoka nafasi ya 124 mwezi September 2023.

Timu ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars imeshika nafasi ya 151 Duniani.

TIMU 10 BORA DUNIANI

  1. ARGENTINA
  2. FRANCE
  3. BRAZIL
  4. ENGLAND
  5. BELGIUM
  6. PORTIGUAL
  7. UHOLANZI
  8. HISPANIA
  9. ITALY
  10. CROATIA

TIMU 10 BORA BARANI AFRIKA.

  1. MOROCCO (13 DUNIANI)
  2. SENEGAL (20 DUNIANI)
  3. TUNISIA (32 DUNIANI)
  4. ALGERIA (33 DUNIANI)
  5. EGYPT (35 DUNIANI)
  6. NIGERIA (40 DUNIANI)
  7. CAMEROON (43 DUNIANI)
  8. MALI (47 DUNIANI)
  9. IVORY COAST (52 DUNIANI)
  10. BURKINA FASO (56 DUNIANI)

27. TANZANIA

EAST AFRICA

  1. UGANDA (90 DUNIANI)
  2. KENYA (110 DUNIANI)
  3. TANZANIA (121 DUNIANI)
  4. SUDAN (130 DUNIANI)
  5. RWANDA (140 DUNIANI)
  6. BURUNDI (142 DUNIANI)
  7. ETHIOPIA (143 DUNIANI)
  8. SOUTH SUDAN (167 DUNIANI)
  9. SOMALIA (196 DUNIANI)

Popular Posts

Exit mobile version