CAF Women Champions League

JKT QUEENS YAANZA VIBAYA WCAFCL.

Mamelodi Sundowns ladies imeanza kwa ushindi hapo jana kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya JKT Queens ya Tanzania.

Published on

Klabu ya JKT Queens jana imeanza vibaya katika michezo ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika inayoendelea nchini Ivory Coast kwa kupoteza dhidi ya Mamelodi Sundowns Ladies kwa idadi ya goli 0-2.

Huu ni mchezo wa kwanza kwa JKT Queens kucheza katika mashindano haya yaliyoanza rasmi msimu uliopita. Mchezo unaofuata ni dhidi ya mwenyeji Athletico Abidjan utakaopigwa saa 2:00 usiku.

Mchezo wa kwanza wa ufunguzi ulimhusisha mwenyeji Athletico Abdjan dhidi ya Sporting Casablanca uliomalizika kwa sare ya 1-1.

Leo ligi hiyo inaendelea kwa michezo miwili.

20:00 FAR Rabat vs Ampem Ladies

23:00 Huracanes vs Mande

Popular Posts

Exit mobile version