Taifa Stars

FEITOTO, BOCCO WAJUMUISHWA TAIFA STARS.

Feisal Salum hadi hivi sasa amefunga magoli matano (5) ndani ya Ligi kuu kandanda Tanzania Bara.

Published on

Kiungo Faisal salum wa klabu ya Azam fc amejumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 35 watakao wakilisha bendera ya tanzania kwenye michezo ya kufuzu kombe la dunia.

Taifa stars itakuwa na ratiba ya michezo miwili dhidi ya Niger na Morocco November 18 na 21 mwaka huu, mara ya mwisho kwa kiungo huyu kujumuishwa kikosini ilikuwa kwenye michezo ya kufuzu AFCON dhidi ya Uganda March 23 mwaka huu.

Popular Posts

Exit mobile version