Simba

TAKWIMU ZA ROBERTINHO AKIWA SIMBA.

Robertinho ameiongoza Simba katika michezo 18 ya Ligi, ikishinda michezo 15, ikipoteza mchezo mmoja na kutoa sare michezo miwili (2).

Published on

Roberto Oliviera ameiongoza Simba katika michezo 18 akishinda michezo 15 na kutoa sare michezo miwili (2) huku akipoteza mchezo mmoja pekee wa Ligi tangu amejiunga na Simba hadi anaondolewa kikosini.

Simba imefunga magoli 45, imefungwa magoli 17 na clean-sheets nane [8]. tangu alipojiunga na Simba January 2023 hadi November 2023.

Januari 18, 2023 Simba 3-2 Mbeya City
Januari 22, 2023 Dodoma Jiji 0-1 Simba
Februari 3, 2023 Simba 3-1 Singida Big Star
Februari 21, 2023 Simba 1-1 Azam
Machi 11, 2023 Mtibwa Sugar 0-3 Simba
Aprili 10, 2023 Ihefu 0-2 Simba
Aprili 16, 2023 Simba 2-0 Yanga
Mei 3, 2023 Namungo 1-1 Simba
Mei 12, 2023 Simba 3-0 Ruvu Shooting
Juni 6, 2023 Simba 6-1 Polisi Tanzania
Juni 9, 2023 Simba 3-1 Coastal Union
Agosti 17, 2023 Mtibwa Sugar 2-4 Simba
Agosti 20, 2023 Simba 2-0 Dodoma Jiji
Septemba 21, 2023 Simba 3-0 Coastal Union
Oktoba 5, 2023 Tanzania Prisons 1-3 Simba
Oktoba 8, 2023 Singida Fountain Gate 1-2 Simba
Oktoba 28, 2023 Simba 2-1 Ihefu
Novemba 5, 2023 Simba 1-5 Yanga.

Popular Posts

Exit mobile version