Uefa Champions League
TIMU YA NOVATUS YAICHAPA BARCELONA.
Ligi ya mabingwa jana imeendelea kwa michezo ya hatua ya makundi kuchezwa, Barcelona ikikubali kichapo cha goli 1-0 ikiwa ugenini dhidi ya Shakhtar Dotnesk.