Makala Nyingine

YOUNG AFRICANS KINARA LIGI KUU.

Young Africans imekuwa ikikutana na upinzani mgumu mara zote mbele ya Coastal Union licha ya kuwa anapata matokeo, jana imeshinda 1-0 ugenini.

Published on

Ushindi wa jana wa Young Africans 1-0 kwenye mchezo ya Ligi kuu kandanda Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union umeifanya timu hiyo kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi hiyo ikifikisha alama 24. Goli la Young Africans jana lilifungwa na Clement Mzize kwa kichwa akipokea pasi safi kutokea kulia mwa uwanja iliyopigwa na Jesus katika dimba la CCM Mkwakwani, Jijini Tanga.

Matoko hayo pia yanaifanya Coastal Union isalie nafasi ya 11 ya msimamo wa Ligi hiyo ikiwa na alama saba (7) pekee katika michezo yake tisa (9) iliyocheza.

Huu hapa msimamo wa jumla,

Popular Posts

Exit mobile version