NBC Premier League

TAKWIMU ZA NOBLE GOLIKIPA TABORA UTD.

Published on

Golikipa wa klabu ya Tabora United anayetajwa kuwindwa na klabu ya Azam FC, John Noble hadi hivi sasa ameonyesha uwezo mkubwa sana kwenye Ligi.

Amecheza michezo nane (8) akiwa na Tabora msimu huu, dakika 720, amepata hati safi (Cleansheet) tano (5), ameruhusu magoli matatu (3), ana kadi moja (1) ya njano.

Golikipa wa kisasa ambaye msimu uliopita alikuwa anatumika kwa mabingwa wa Nigeria klabu ya Enyimba.

Popular Posts

Exit mobile version