Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limetaja majina matano ya mwisho kwenye kila kipengele kinachowaniwa kuelekea usiku wa tuzo za Afrika. Young Africans imekuwa miongoni mwa timu tano zilizosalia kwenye kinyang’anyiro kwenye nafasi ya klabu bora ya mwaka na kuwa timu pekee kutoka Afrika Mashariki.
timu mbili pekee zilizosalia katika kinyang’anyiro hicho zinazotokea ukanda wa jangwa la Sahara ambazo ni Young Africans na Mamelodi Sundowns.
KLABU BORA YA MWAKA
- Young Africans SC [Tanzania]
- Mamelodi Sundowns [Afrika Kusini]
- Wydad Athletic Club [Morocco]
- Al Ahly [Misri]
- USM Algers [Algeria].
TIMU YA TAIFA BORA YA MWAKA
- Gambia
- Equatorial Guinea
- Mauritania
- Morocco
- Senegal
KOCHA BORA WA MWAKA
- Abdelhak Benchikha [USM Algers]
- Marcel Koller [Al Ahly]
- Tom Saintfiet [Gambia]
- Walid Regragui [Morocco]
- Aliou Cisse [Senegal]
GOLIKIPA BORA WA MWAKA
- Mohammed El Shenawy [Misri]
- Yassine Bounou [Morocco]
- Andre onana [Cameroon]
- Ronwen Williams [Afrika Kusini]
- Eduardo Mendy [Senegal]
MCHEZAJI BORA KIJANA WA MWAKA
- Danco Outtara [Burkina Faso]
- Abdessamad Ezzalzouli [Morocco]
- Bilal El Khannouss [Morocco]
- Lamine Camara [Senegal]
- Amara Diouf [Senegal]
MCHEZAJI BORA WA MASHINDANO YA KLABU WA MWAKA.
- Aymen Mahious [USM Algers – Algeria]
- Zineddine Belaid [USM Algers – Algeria]
- Fiston Mayele [Yanga – DR Congo]
- Mahmoud Abdelmoneim [Wydad AC – Misri]
- Mohammed El Shenawy [Al Ahly – Misri]
- Yahia Attiyat Allah [Wydad AC – Morocco]
- Yahya Jabrane [Wydad AC – Morocco]
- Peter Shalulile [Mamelodi Sundowns – Namibia]
- Percy Tau [Al Ahly – Afrika Kusini]
- Al Maaloul [Al Ahly – Tunisia].