Betting Tips

MKEKA POINT

Published on

Netherlands wana ushindi kwenye mechi 3 kati ya 5 za hivi karibuni na wametoka kushinda 1-0 dhidi ya Greece. Huku Republic of Irelend wakitoka kuwanyuka Gibraltar 4-0 kwenye mechi zao 5 za mwisho wakishinda mechi 2 na kufungwa mechi 3.

Hakuna shaka kwenye upatikanaji wa magoli kwa timu zote mbili kwani kwenye mechi zao 5 za mwisho zaidi ya mechi 3 zimehusisha mgaoli zaidi 2.5 zikiwemo GG. Lakini kiuhalisia kwenye upande wa matokeo timu zote zinajitafuta

DONDOO : TIMU ZOTE KUFUNGANA(BTTS-GG)

Matokeo ya 1-1 dhidi ya Huesca ndio matokeo ya mwisho ya Espanyol na ni miongoni mwa mechi 2 tu ambazo wamepata GG kwenye michezo ya 5 ya mwisho. Na cha kukuongezea hapo kwenye mechi hizo 5, mechi 4 zimeisha na magoli chini ya 2.5. Hakuna utajiri sana wa magoli kwenye mechi za Espanyol.

Elche nao hawako mbali sana na takwimu kama hizo lakini wao wapo kwenye fomu nzuri sasa hivi. Ushindi kwenye mechi 4 kati ya 5 za hivi karibuni ikiwemo ushindi wao wa 2-0 dhidi ya Zaragoza wamejikuta wakisogea mpaka nafasi ya 9 ya msimamo wa Segunda wakiwa na alama zao 23, alama 2 tu nyuma ya Espanyol(25) walio nafasi ya 6.

DONDOO: TIMU ZOTE KUFUNGANA (BTTS-GG)

Niger hawana mtririko mzuri sana wa matokeo wakishinda mechi 1 tu kwenye mechi zao 5 za mwisho na ni mechi 1 kumekuwa na magoli zaidi ya 2.5. kwa kifupi sio wazuri sana kwenye kufunga wala kushinda huku mechi zao nyingi zikiisha bila magoli au sio zaidi ya goli 2.

Tanzania nao hawako mbali sana na takwimu hizo. Wakishinda mechi 2 kwenye 5 za mwisho lakini kwenye hizo mechi 3 kati ya hizo zimeisha na magoli zaidi ya 2.5. timu zote mbili zimepata GG kwenye mechi 1 tu. Hatutarajii kuona magoli mengi kwenye mchezo huu unaopigwa kwenye uwanja usio nyumbani kwa yoyote.

DONDOO : CHINI YA MAGOLI 3.5

Popular Posts

Exit mobile version