Connect with us

NBC Premier League

KIKOKOTOO CHAIPA YANGA UBINGWA 2023/24.

Ligi kuu kandanda Tanzania Bara imefika mzunguko wa kumi hivi sasa (10) ikiwa baadhi ya timu zimecheza michezo tisa (9) na zingine zikicheza michezo kumi (10) isipokuwa klabu za Simba na Mashujaa ambazo zimecheza michezo nane (8) kila mmoja.

Kwa mujibu wa KIKOKOTOO kimetoa tathmini ya msimamo wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara utakavyomalizika mwishoni mwa msimu huu wa 2023/24.

Na hivi ndivyo msimamo utakavyokuwa mwisho wa msimu wa 2023/24.

  1. Young Africans SC
  2. Simba SC
  3. Azam FC
  4. KMC
  5. Singida Fountain Gate
  6. Dodoma Jiji
  7. Namungo
  8. Kagera Sugar
  9. JKT Tanzania
  10. Tabora United
  11. Coastal Union
  12. Mtibwa Sugar
  13. Ihefu
  14. Tanzania Prison
  15. Mashujaa
  16. Geita Gold.

Makala Nyingine

More in NBC Premier League