Ligi kuu kandanda Tanzania Bara imefika mzunguko wa kumi hivi sasa (10) ikiwa baadhi ya timu zimecheza michezo tisa (9) na zingine zikicheza michezo kumi (10) isipokuwa klabu za Simba na Mashujaa ambazo zimecheza michezo nane (8) kila mmoja.
Kwa mujibu wa KIKOKOTOO kimetoa tathmini ya msimamo wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara utakavyomalizika mwishoni mwa msimu huu wa 2023/24.
Na hivi ndivyo msimamo utakavyokuwa mwisho wa msimu wa 2023/24.
- Young Africans SC
- Simba SC
- Azam FC
- KMC
- Singida Fountain Gate
- Dodoma Jiji
- Namungo
- Kagera Sugar
- JKT Tanzania
- Tabora United
- Coastal Union
- Mtibwa Sugar
- Ihefu
- Tanzania Prison
- Mashujaa
- Geita Gold.