CAF Champions League

SIMBA MBABE WA ASEC TAIFA.

Published on

Ligi ya mabingwa inatarajiwa kuendelea leo baada ya mwakilishi wa Tanzania [Yanga] kupoteza jana ugenini, leo mwakilishi mwingine [Simba] atashuka dimbani katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Asec Mimosas ya Ivory Coast.

Simba imekutana na Asec Mimosas mara nne na kila timu imeshinda mara mbili katika michezo yote, Simba ikishinda michezo yake yote miwili (2) ya nyumbani na Asec ikishinda michezo yote miwili (2) ya nyumbani.

MWAKA 2022
Asec Mimosas 3 – 0 Simba Sc
Simba Sc 3-1 Asec Mimosas

MWAKA 2003
Asec Mimosas 1 – 3 Simba Sc
Simba Sc 1-0 Asec Mimosas

Mechi zao hazijawahi kutoa sare na kila mtu ameshinda nyumbani kwake.

Popular Posts

Exit mobile version