NBA In-Season Tournament 2023 inayofanyika kwa mara ya kwanza msimu huu inaingia hatua ya robo fainali baada ya michezo ya hatua ya makundi kumalizika ikishuhudia timu 6(3 kutoka kila kundi) na timu 2 kama wildcard(1 kutoka kila kundi).
Timu zilizofuzu hatua hii ni pamoja na BOSTON CELTICS, INDIANA PACERS, NEW ORLEANS PELICANS, PHOENIX SUNS, LAKERS, NEW YORK KNICKS NA MILWAUKEE BUCKS.
Ratiba kamili ya michezo hii inayotarajiwa kuchezwa kati ya Desemba 4 na 5 ni kama ifuatavyo
Michezo ya nusu fainali inatarajiwa kupigwa Alhamisi ya tarehe 7 Disemba, 2023.