NBA

GOLDEN STATE WARRIORS BADO HAWAJAJIPATA

Published on

PG Paul George alifanikiwa kuiongoza timu yake ya LA Clippers kuwapa kuchapo cha kushtukiza Mabingwa Golden State Warriors cha vikapu 113-112 na kuendelea kuwaweka mzimuni GSW.

Msimu huu haujaonekana kwenda vizuri kwa GSW huku wakipoteza mchezo wao wa 11. Licha ya kufikwa na maswahibu kadhaa ikiwemo kuwakosa wachezaji wao tegemeo kama Steph Curry na Draymond Green kwenye nyakati tofauti na sababu mbalimbali lakini jana wote walirejea uwanjani ila hwakuweza kuiepusha timu yao kutoka kwenye kichapo huku Zubac, Kahwi Leonard na James Harden wakinogesha zaidi Ushindi huo muhimu kwa Clippers.

Matokeo Mengine ni kama ifuatavyo

HOUSTON ROCKETS 72-86 LA LAKERS

MINNESOTA TIMBERWOLVES 123-117 CHARLOTTE HORNETS

CLEVELAND CAVALIERS 110-101 DETROIT PISTONS

ORLANDO MAGIC 101-129 BROOKLYN NETS

ATALANTA HAWKS 121-132 MILWAUKEE BUCKS

NEW ORLEANS PELICANS 118-124 CHICAGO BULLS

INDIANA PACERS 144-129 MIAMI HEAT

MEMPHIS GRIZZLIES 109-116 PHOENIX SUNS

OKLAHOMA CITY THUNDER 126-120 DALLAS MAVERICKS

PORTLAND TRAIL BLAZERS 113-118 UTAH JAZZ

DENVER NUGGETS 117-123 SACRAMENTO KINGS

Popular Posts

Exit mobile version