NBC Premier League

KAKOLANYA KIFUNGONI MECHI TATU ZA NBC.

Published on

Kipa wa Singida Fountain Gate Beno Kakolanya ametozwa faini ya shilingi milioni Moja na kufungiwa michezo 3 na bodi ya ligi kuu ya NBC,kwa kosa la kumtolea lugha ya matusi na kujaribu kumshambulia kwa ngumi kiongozi wa Coastal Union.

Tukio hili lilitokea siku moja kabla ya mchezo wa ligi kuu Singida FG dhidi ya Coastal Union mchezo uliochezwa katika uwanja wa CCM Liti mkoani Singida Novemba 27,2023

Popular Posts

Exit mobile version