Connect with us

AFCON

KIKOSI CHA MWISHO STARS AFCON, SOPU, METACHA NJE.

Kikosi cha mwisho cha wachezaji 27 cha timu ya Taifa ya Tanzania kimetoka huku mlinda lango wa klabu ya Yanga Metacha Mnata na mshambuliaji wa klabu ya Azam Abdul Suleiman Sopu wakiondolewa kikosini.

Kikosi Kamili kitakachosafiri kuelekea nchini Ivory Coast kwaajili ya fainali za mataifa ya Afrika AFCON 2023.

  1. Kwesi Kawawa
  2. Beno Kakolanya
  3. Aish Manula
  4. Haji Mnoga
  5. Mudathir Yahya
  6. Ibrahim Hamad
  7. Dickson Job
  8. Feisal Salum
  9. Himid Mao
  10. Morice Abraham
  11. Cyprian Kachwele
  12. Mbwana Samatta
  13. Tarryn Allarakhia
  14. Saimon Msuva
  15. Bakari Nondo
  16. Mohamed Hussein
  17. Lusajo Mwaikenda
  18. Sospeter Bajana
  19. Mzamiru Yassin
  20. Novatus Dismas
  21. Charles M’mombwa
  22. Kibu Denis
  23. Ben Starkie
  24. Abdi Banda
  25. Abdulmalik Zakaria
  26. Miano Danilo
  27. Mohamed Sagaf.

Taifa Stars kwasasa imekita kambi nchini Misri na itakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Misri siku ya jumapili na jumatatu timu itasafiri kuelekea nchini Ivory Coast kwaajili ya mashindano.

Makala Nyingine

More in AFCON