Kikosi cha mwisho cha wachezaji 27 cha timu ya Taifa ya Tanzania kimetoka huku mlinda lango wa klabu ya Yanga Metacha Mnata na mshambuliaji wa klabu ya Azam Abdul Suleiman Sopu wakiondolewa kikosini.
Kikosi Kamili kitakachosafiri kuelekea nchini Ivory Coast kwaajili ya fainali za mataifa ya Afrika AFCON 2023.
- Kwesi Kawawa
- Beno Kakolanya
- Aish Manula
- Haji Mnoga
- Mudathir Yahya
- Ibrahim Hamad
- Dickson Job
- Feisal Salum
- Himid Mao
- Morice Abraham
- Cyprian Kachwele
- Mbwana Samatta
- Tarryn Allarakhia
- Saimon Msuva
- Bakari Nondo
- Mohamed Hussein
- Lusajo Mwaikenda
- Sospeter Bajana
- Mzamiru Yassin
- Novatus Dismas
- Charles M’mombwa
- Kibu Denis
- Ben Starkie
- Abdi Banda
- Abdulmalik Zakaria
- Miano Danilo
- Mohamed Sagaf.
Taifa Stars kwasasa imekita kambi nchini Misri na itakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Misri siku ya jumapili na jumatatu timu itasafiri kuelekea nchini Ivory Coast kwaajili ya mashindano.